Mahakama ya Juu nchini Kenya imeamua kwamba wenzi wanaoishi pamoja bila nia ya kufunga Ndoa hawawezi kutambulika kama Wanandoa moja kwa moja hadi wafunge Ndoa kwa hiari yao we...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ametoa amri kwa viongozi wa serikali za mitaa nchini humo kutekeleza agizo la kuwa na sehemu ya starehe (bar) moja kwa kila mji.
Rigathi ...
Ripoti mpya ya Ofisi ya Kitaifa ya Takwimu Kenya (KNBS) imebaini kuwa Wanaume Wakenya wana wastani wa wapenzi (7) katika maisha yao huku wanawake wakiwa na wastani wa wapenzi ...
Polisi Nchini Kenya wanachunguza Chanzo cha mauaji baada ya kukuta mwili wa mwanamitindo maarufu Edwin Chiloba umetupwa Ukiwa Ndani ya Sanduku la Chuma. Kulingana n...
Waandishi wa habari katika kituo cha habari kikongwe nchini Kenya cha Citizen Tv wanaripotiwa kulishwa sumu baada ya kula chakula siku ya Boxing day, wafanyakazi hao wal...
Serikali nchini Kenya imepiga marufuku kwa wanafunzi wa ngazi ya chini kwa elimu ya sekondari na itaanza kutumika kuanzia januari 2023 Madarasa yanayohusika na marufuku hiyo ...
Rais mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta amerejea mitandaoni baada ya kutokuwa kwa zaidi ya miaka 2. Kiongozi huyo amerudi kwa kufungua akaunti mpya iliotambulika kwa jina la &nbs...
Rais wa Kenya William Ruto anaelekea kwenye ziara mjini Kinshasa leo. Ziara hiyo inazingatia juhudi za kurejesha amani katika eneo la mashariki mwa Kongo. Ziara ya Rais wa Ken...
Bilionea mkubwa duniani na mfanyabiashara wa Marekani Bill Gates yuko nchini Kenya ambapo anatarajiwa kufanya mazungumzo na Wakenya kuhusiana na masuala mbalimbali.Mwanzilishi...
Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge Hata hivyo Wabung...
Bobi Wine awaonya wakenya juu ya pendekezo la kuondoa ukomo wa muhula wa urais nchini humo. Kiongozi huyo wa upinzani Uganda, amewataka Wakenya kuwa macho kwa kulinganis...
Rais wa South Africa Cyrill Ramaphosa akiwa Nairobi, Kenya leo ametangaza kuwa kuanzia January 2023 Wakenya wataruhusiwa kwenda nchini South Africa bila kuhitajika kuwa na VIS...
Marubani wa shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways, wataanza mgomo kesho kutilia mkazo madai yao ya mazingira bora ya kazi, licha ya mahakama ya nchi hiyo kuamuru mgomo huo ...