Amchoma kisu mwanafunzi mwenzie kisa kakataa kufunga nae ndoa

Amchoma kisu mwanafunzi mwenzie kisa kakataa kufunga nae ndoa

Mwanaume mmoja kutoka nchini Misri aliyefahamika kwa jina la Mohamed Adel amehukumiwa adhabu ya kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kukusudia Mwanafunzi mwenzake wa wakike katika chuo kikuu cha Mansoura nchini Egypt.

Baada ya binti aliefahamika kwajina la Nayra Ashra kulikataa ombi lake la kutaka wafunge ndoa ndipo kijana huyo alipo fanya uwamuzi wa makusudi kumchoma kisu mwenzake.

Uhalifu huo aliufanya akiwa njee ya chuo kikuu hicho habari zimesambaa mitandaoni nakusababisha hofu nchini na kuibua mijadala mbalimbali kuhusu ukatili dhidi ya wanawake.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags