Watu 150 wafa maji wakitoka kwenye harusi

Watu 150 wafa maji wakitoka kwenye harusi

Watu Zaidi ya 150 wamefariki baharini baada ya boti waliopanda kupinduka njiani, ambapo walikuwa wanatoka kwenye sherehe ya harusi.

Hadi sasa kuna Watu 150 waliofariki na zaidi ya 100 wameokolewa katika ajali hiyo na idadi ya Watu huenda ikaongezeka Zaidi.

Matukio ya ajali za boti yamekuwa yakitoka mara kwa mara nchini Nigeria, huku kuzidisha idadi ya Watu katika Vyombo vya Usafiri ikitajwa kuwa ni moja ya chanzo, sababu nyingine ni kukiuka Taratibu za Usalama na mafuriko makubwa katika Msimu wa Mvua.

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags