Bondia ashutumiwa kwa kufanya ubakaji

Bondia ashutumiwa kwa kufanya ubakaji

Mwanamke mmoja nchini Marekani amfungulia kesi mpiganaji wa mashindano ya UFC Mc Gregor kwa kumfanyia vitengo vya ngono kwa nguvu wakati wa mchezo wa fainali za NBA mapema mwezi huu.

Aidha barua ya mwendesha mashtaka wa serikali Ariel Mitchell, inasema Mc Gregor anadaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke huyo ndani ya choo cha wanaume.

Walinzi wa Conor walisaidia kumtenganisha mwanamke huyo na rafiki yake na kumuingiza chooni ndipo Mc Gregor akamfanyia kitendo hicho.

Ingawa mpiganaji huyo sio mara ya kwanza kuwafanyia wanawake udhalilishaji kama huo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags