Mshindi wa ndondi wa zamani nchini Urusi, Renat Agzamov, amegeukia kwenye utengenezaji keki zinazofanana na majumba ya hadithi za kale.Kabla ya kuwa bondia, Renat akiwa na umr...
Bondia Deontay Wilder bado ameendelea kuwa kimya juu ya hatma yake kwenye masumbwi tangu alipoahidi endapo atachapwa na Zhilei Zhang, nchini Saudi Arabia, atastaafu.
Wilder al...
Bondia wa ngumi za kuliwa kutoka Marekani Ryan Garcia amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya ngumi baada ya kuthibitika kutumia dawa iliyopigwa marufuku kabla na baa...
Bondia wa ngumi za uzito duniani (Heavy Weight), Deontay Wilder ameporomoka kwenye viwango vya ubora kwenye mchezo huo, huku Tyson Fury akimpisha Oleksandr Usyk namba moja.
Wi...
Bukta ya bondia wa zamani wa ngumi za kulipwa Muhammad Ali maarufu kama ‘The Greatest’ aliyoivaa katika pambano lake na Joe Frazier inatarajiwa kuuzwa kiasi cha do...
Bondia maarufu kutoka nchini Uingereza #TysonFury, ameweka wazi kuwa anatarajia kupata mtoto wa nane na mkewe #ParisFury.
Fury ameweka wazi suala hilo kupitia ukurasa wake wa ...
Baada ya kuripotiwa kuwa katika hali mbaya kutokana na kunusurika kwenye ajali ya moto, familia ya bingwa wa zamani wa UFC Mark Coleman, imeripoti kuwa mkali huyo kwa sasa ana...
Bondia kutoka nchini Marekani itwaye Ryan Garcia amedai kuwa anamjua mtu aliyehusika katika mauaji ya kifo cha ‘rapa’ Tupac.Kupitia ukurasa wake wa X ali-share uju...
Bingwa wa zamani wa UFC Mark Coleman (59) maarufu kama ‘The Hammer’ ameripotiwa kuwa katika hali mbaya hospitalini baada ya kuwaokoa wazazi wake katika ajali ya mo...
Baada ya kupokea kichapo cha ‘Knock Out’ (K.O) bondia Francia Ngannou amewaomba radhi mashabiki zake kufuatiwa na kichapo alichopewa na Anthony Joshua, pambano lil...
‘Fowadi’ kutoka ‘klabu’ ya #AlNassr #CristianoRonaldo amzawadia bondia kutoka #Cameroon Francis Ngannou saa yenye thamani zaidi ya million 200 za Kitan...
Bondia mstaafu ambaye pia ni ‘promota’ wa mchezo wa ngumi kutoka nchini Marekani ameonesha kuguswa na vita inayoendelea kati ya Israel na Palestina hivyo basi amep...
Bondia maarufu nchini Hassani Mwakinyo amefungiwa kupanda ulingoni kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya tsh 1 milioni kufuatia utovu wa nidhamu wa kugomea kupanda ulingoni.
Mwa...
Tazama maisha ya bondia kutoka nchini Marekani Prichard Colon Melendez, yalivyo badilika kwa sekunde chache baada ya kupigwa ngumi akiwa ulingoni, na kusababisha maisha yake k...