Heyyy! Mambo vipi watu wa nguvu I hope mko powa kabisa kama kawaida yetu huwa hatunaga mba mba mba katika maswala ya kukuhabarisha wewe mfuatiliaji wetu wa Mwananchi Scoop.
Le...
Hello! Mambo vipi pande hizo, swaumu inapanda au niwaache kidogo? Kama tunavyojua bwana ni mwezi wa ramadhani na unatujulisha kuwa Eid iko karibuni, so biashara ambayo itakufa...
Kufuatia utafiti uliofanywa na watafiti kutoka nchini Uswidi unaonyesha kuwa kunusa harufu za mwili za watu wengine kunaweza kusaidia katika kutibu wasiwasi wa kijamii. Utafit...
Takriban watu 35 wamefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima walipokuwa wakisali katika hekalu moja katika jimbo la kati la India la Madhya Pradesh.
Kisa hicho kilitoke...
Na Asha CharlesAlooooweee!!watu wangu I hope ni buheri wa afya kabisaa, simnaelewa haka ka vibe lakini, it’ fridayyyyy! katika ulimwengu wa kukusogezea mastory yaliotren...
Weeeeeh! Vip hii imeshakufikia au bado, kama nawaona wenzangu na mie wapenda kuweka status nyingi huu ni muda wetu sasa basi bwana unaambiwa…
Serikali kutoka nchini Mar...
Brian Winslow mzee wa miaka 86 kutoka Derbyshire amevunja rekodi za dunia na kitaifa katika shindano lake la mwisho la kunyanyua vitu vyenye uzani mkubwa.
Katika jaribio...
Na Asha CharlesBwana bwana huko mtandaoni leo kumedamshi sio powa, msanii wa bongo fleva kutoka nchini Tanzania Killytz ameongea mazito kuhusiana na mkataba wake na lebo...
Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, mnayajua mapenzi nyie, eeeeh mnajua kupendana au sio shida zenu, vipi uko tayari kujibadilisha kuwa nyau kwa ajili ya kumfurahisha mke wako?...
Na Asha CharlesKulingana na ripoti iliotolewa na kampuni ya utafiti ya New Worid Wealth and Henley partner iliotolewa machi 29, mwaka huu imeeleza kuwa Tanzania imeshika nafas...
Ni siku chache tuu zimepita tangu Makamu wa rais kutoka nchini Marekani Kamala Harris kutoa playlist ya wasanii wa bongo anaowaskiliza mara kwa mara, hatimae sasa ametua rasmi...
Shirika la soko Amerika Kusini, Conmebol limemzawadia sanamu la heshima mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi kwa kuingoza timu yake kushinda Kombe la dunia, mw...
Mbunge kutoka nchini Kenya, Kullow Hassan Maalim, amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kuhusika katika ajali ya pikipiki iliyomgonga na kukimbia, ...