Mtoto wa Biden akiri mashataka yanayo mkabili

Mtoto wa Biden akiri mashataka yanayo mkabili

Mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden mwenye umri wa miaka 53, siku ya jana Jumanne alifikia makubaliano na Idara ya Sheria kwa kukiri mashtaka matatu ya kukwepa kulipa kodi na kumiliki silaha kinyume cha sheria.

Kulingana na kesi hiyo Hunter ambaye kwa muda mrefu ametatizwa na utumiaji wa mihadarati na uchunguzi wa shughuli zake za biashara nje ya nchi.

Pamoja na kumtaka kuacha kutumia madawa ya kulevya kwa miaka miwili na akubali kutomiliki tena bunduki, lakini ni lazima  makubaliano hayo yaidhinishwe na Jaji.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags