Takribani watu 7 nchini Madagascar na 7 Msumbiji wamepoteza maisha baada ya kimbunga Freddy kupiga.
Kulingana na ripoti ya hivi punde ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu ...
Maandamano yamezuka nchini Ugiriki kufuatia na ajali ya reli iliyosababisha vifo vya watu 43, huku wengi wakiiona kama ajali iliyokuwa ikisubiriwa kutokea.
Waandamanaji hao wa...
Treni mbili zimegongana kaskazini mwa Ugiriki na kupoteza maisha ya takriban watu 26 na makumi ya watu kujeruhiwa, Treni hiyo inayosemekana kuwa na abiria 350 ambapo iligonga ...
Beki wa kati wa klabu ya Simba SC Erasto Nyoni baada ya Timu ya Majimaji ya Songea kukwama jijini Dar es Salaam kwa kukosa pesa ya nauli na deni la Hoteli alifaniki...
Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata mkubwa nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka...
Boss wa Makampuni ya SpaceX, Tesla na Twitter, Elon Musk amerudi tena kuwa Tajiri namba moja Duniani baada ya kuondolewa kwenye nafasi hiyo mwishoni mwa mwaka jana baada ya ku...
Rais wa zamani nchini Nigeria Olusegun Obasanjo ametoa kauli hiyo kufuatia malalamiko yanayoendelea kuhusu kutokuwepo uwazi kwenye Matokeo ya Kura zilizopigwa ikiwa ni pa...
Vyama vya Upinzani vya PDP na Labor Party Nchini Nigeria vimesusia mchakato wa Utangazaji Matokeo kwa madai kuwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imeonesha kuwepo kwa uchakachuaji...
Chama kikuu cha upinzani cha Peoples Democratic Party (PDP) na Labour Party vimedai hakuna uwazi katika mfumo mpya wa kielektroniki wa wapiga kura.
Vyama vya upinzani vimetoka...
Mwanasoka nguli kutoka Argentina na klabu ya PSG Lionel Messi ametangazwa kuwa Mchezaji bora wa mwaka 2022 FIFA, huku akiweka rekodi ya kuwa Mchezaji pekee aliyewa...
Peter Obi mgombea wa chama cha Labour amemshinda Bola Tinubu wa chama tawala katika eneo alilotoka, matokeo yaliyotangazwa na maafisa wa uchaguzi wa majimbo.
Mgombea urais wa ...
Rais wa Kenya, William Ruto amesema kuwa wafugaji wa kaskazini hawataruhusiwa tena kubeba silaha wakati wanachunga ng'ombe zao, huku kukiwa na operesheni ya kuwapokonya silaha...
Taarifa kutoka uingereza ambapo kupitia Sheria mpya iliyoanza kutumika Nchini humo na Wales ambako awali Watu walikuwa wakioana wakiwa na Miaka 16 au 17 ikiwa watapata kibali ...
Baadhi ya miili kutoka makaburi ya kingo za mto Umbeluze karibu na mji mkuu wa Msumbiji, Maputo, imesombwa na mafuriko na kuenea katika makazi ya watu na mashamba.
Vituo vya t...