Microsoft, Open AI zafunguliwa kesi ya wizi wa data

Microsoft, Open AI zafunguliwa kesi ya wizi wa data

Open AI na Microsoft zimeshtakiwa kwa makosa 15 ya kiwemo kutumia taarifa binafsi zinazoweza kumtambulisha mtu binafsi kwa mamilioni ya watumiaji wa Intaneti wakiwemo watoto bila ridhaa au utambuzi wao.

Waliofungua kesi hiyo wameiomba Mahakama itoe amri ya kufungia kwa muda matumizi zaidi ya kibiashara ya huduma za Open AI, Microsoft ikiwemo Chat GPT.

Pia, wanataka malipo ya fidia kwa watu ambao data zao zilitumiwa kuunda na kutoa mafunzo kwenye huduma za Open AI.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post