07
Tisa wafariki katika ajali, Katavi
Watu tisa wamefariki na wengine 30 kujeruhiwa kutokana na ajali iliyotokea katika Mlima mkali wa Nkondwe, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi baada ya basi leny...
06
Walioondoka kwa kukidhalilisha chama, watafute uungwana wakati wa kurudi
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema , Freeman Mbowe amesema chama chao ni cha Kidigitali, yeyote anaweza kujiu...
06
Chadema yaanza kupokea ruzuku
Kauli hiyo ameitoa Makamu mwenyekiti wa chama hicho ambapo hii ni mara ya kwanza kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kukiri kupokea ruzuku tangu kilipogoma kuichuku...
06
Ahukumiwa kuswali swala tano kwa siku 21
Mahakama katika mji wa Malegaon katika jimbo la Maharashtra nchini Indi,a imemuamuru mshtakiwa kusali swala tano kwa siku, kwa siku 21 zijazo ili kumuadhibu kwa kupigana. Uamu...
05
Fashion tips kwa wanawake wenye matiti madogo na makubwa
Hellow mambo vipi watu wangu wa nguvu karibu sana kwenye ukurasa wa fashion kama kawaida ndiyo sehemu pekee ya kujidai na kupangilia mionekano yetu au sio? Wiki hii bwana kwen...
05
Unafahamu nini kuhusu tezi dume
Na Mark Lewis Tezi dume ni kiungo kidogo na ni sehemu moja ya uzazi wa wanaume. Hupatikana chini ya kibofu na mbele ya mwanzo cha njia itoayo mkojo hupitia ndani ya tezi dume....
05
Jinsi ya Kukabiliana na Mfadhaiko kazini
Una kazi unayopenda, lakini wafanyikazi wenzako ni buruta kabisa. Ikiwa watu unaofanya nao kazi ni chanzo kikubwa cha msongo wa mawazo kazini, wanaweza kuwa wanashusha ofisi n...
04
Njia ya kupata marafiki wapya baada ya kumaliza chuo
Hellow! Niaje niaje wanangu sana tunaendelea tulipoishia bwana maana, hatuwezi kusomesha maneno elfu moja lazima tuende kidogo ili tuweze kuelewana bwana.  Tulipo ishia n...
03
Messi atumiwa ujumbe wa vitisho
Shirika la habari la AFP limeripoti kuwa mwanasoka kutoka nchini Argentina Lionel Messi ametumiwa barua ya vitisho baada ya Watu wenye silaha kushambulia duka kubwa linalomili...
04
Zingatia haya katika uuzaji wa nguo mitandaoni
Amkeniii amkenii amkeeni mkafungue biashara hizo, kama tunavyojua bwana biashara ni asubuhi kuna wale wateja wanaokuja alfajiri wanaboa kidogo lakini ndo ujasiliamali wenyewe ...
03
Ndoa ya kafulila yavunjwa na mahakama
Ndoa ya wanasiasa machachari, David Kafulila na Jesca Kishoa imevunjwa rasmi na Kituo Jumuishi Huduma za Kimahakama, Mirithi na Ndoa baada ya ndoa hiyo kushindwa kurekebishika...
03
Nusu ya watu duniani watakua na unene unaozidi kufikia 2035
Ripoti maalum kutoka Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza itafikiwa hivyo ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema, zaidi ya Watu Bilioni nne wataathirika. Aidh...
03
Mwakilishi Jimbo la Mtambwe afariki
Taarifa kutoka kisiwani Pemba ambapo Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba  Habib Mohammed Ali,    amefariki wakati akiendelea na Matibab...
02
Messi atoa Iphone kwa wachezaji wenzake wa Argentina
Aloooooweeeh! Aloootenaaa! Sijui tuseme wiki hii ni wiki ya mwamba La Pulga au Messi kuupiga mwingi kwa kuwazawadia wachezaji wake na benchi la ufundi kwa kuwapatia simu za ip...

Latest Post