Papa achukizwa na waliochoma Quran

Papa achukizwa na waliochoma Quran

Papa Francis wa kanisa katoliki Duniani amelaani vikali vitendo vya kuchoma vitabu takatifu kwa waislam (Quran) baada ya mtu mmoja kuchoma kitabu hicho kwenye mji mkuu nchini Sweden.

Moja ya chombo cha habari kimeripoti kuwa Papa Francis pia ametoa wito wa kuheshimiwa kwa vitabu vitakatifu vya dini kama njia ya kuonesha heshima kwa watu wanaoviamini.

Aidha kiongozi huyo wa kanisa Katoliki amesema amechukizwa na matendo hayo na kupinga juhudi zozote za kuruhusu matukio hayo kuwa sehemu ya uhuru wa maoni.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags