Nike wadhamini wa jezi Al Nassr

Nike wadhamini wa jezi Al Nassr

Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imetangaza rasmi kuwa Kampuni ya Nike ndio wadhamini wao wa Jezi kwa Msimu unaotarajia kuanza wa 2023/24.

Kampuni ya Nike itabuni vifaa vya Michezo vya Al Nassr kwa msimu ujao. Hapo awali walitengeneza vifaa vyake vya Michezo na Nike kati ya mwaka 1997 na 2001 na kwa awamu ya pili, 2010 na 2012.

Ikumbukwe tu kuwa nyota wa Al Nassr Cristiano Ronaldo ana mkataba wa maisha na Nike. haya haya wanangu sana vipi hapo wamba kutoka Saudi Arabia wameupiga mwingi au, dondosha komenti yako hapo chini kutueleza mtazamo wako katika hili. 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags