Chino Kidd: Heshimu walio kutangulia

Chino Kidd: Heshimu walio kutangulia

Hivi karibuni mwamba Chino Kidd amekuwa akitajwa sana midomoni mwa watu wengi na yeye pia anazidi kushangaa jinsi gani watu wamempokea kwa ukubwa huku akiwakumbusha dancers wenzake kuwa kikubwa ni kupambana na kuheshimu waliokutangulia ili ufanikiwe.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Chino amepost picha zake na za wimbo wake huko youtube na kuandika.

 “Ujuwe hata sielewi ila Mungu yupo sahihi siku zote na hii ni heshima kwa madancer wote wanao unga mkono hizi harakati na wasiounga mkono kikubwa ni kuendelea kupambana na kuheshimu waliotutangulia kwenye game”alisema Chino Kidd.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags