18
SHUFAA NASSOR: Mhitimu aliyeamua kuwa muhamasishaji wa hedhi salama
Haya haya wanangu sana. I hope mko good wafuatiliaji wa segment yetu ya UniCorner. Leo tumekuja na kitu kipya kabisa yaani sio kil...
18
BATA BATANI: Explore the giraffe manor
Whats up my adventurous people? Ni wiki nyingine tena ambapo tunakutana katika segment ya Bata Batani nikikujulisha kuhusiana na sehemu mbalimbali unazoweza kwenda kuenjoy ya ...
17
Waliofariki kwa kimbunga Freddy wafikia 400
Idadi ya watu waliofariki kwa mafuriko yaliyosababishwa na kimbunga Freddy wapata 400, ambapo idadi hiyo inajumuisha vifo vilivyotokea tangu kimbunga hicho kilipoingia barani ...
17
Anjella: Harmonize hajanitafuta toka nichore tattoo ya jina lake
Msanii wa muziki wa bongo fleva Anjella amefunguka na kusema kuwa toka achore tattoo ya jina la aliyekuwa boss wake Harmonize, bado hawajawasiliana kabisa licha ya staa h...
17
TikTok yapigwa marufuku Uingereza
Mawaziri kutoka nchini Uingereza wamezuia kutimia mtandao wa TikTok katika vifaa vya ofisi. Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama. Serikali nchini humo imekuwa i...
17
5 wafariki kwa ugonjwa usiojulikana Kagera
Serikali kupitia Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya uwepo wa ugonjwa ambao bado haujajulikana mkoani Kagera, katika Wilaya ya Bukoba Vijijini, ambapo watu 7 wanasadikika k...
16
Alikiba akanusha kufanya kolabo na Davido
Baada ya kusambaa kwa List ya ngoma  kutoka kwenye albam mpya ya star kutoka nchini Nigeria Davido ikiwa inaonesha jina la Staa wa muziki kutoka Nchini Alikiba likiw...
16
Maombolezo siku 14 baada ya kimbunga freddy kuua watu 225
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera ametangaza siku 14 za maombolezo baada ya kimbunga freddy kuuwa zaidi ya watu 225.  pia ameagiza Bendera kupepea nusu mlingoti kwa si...
16
Mfaume Mfaume pambano la marudiano na Pialali
Mabondia  wa Ngumi za kulipwa nchini wenye uhasimu mkubwa, Idd Pialali na Mfaume Mfaume jana Jumatano wamesaini mkataba wa pambano la marudiano linalotarajiwa kufanyika S...
16
Wagonjwa 87 wa kifua kikuu hufariki kila siku
Kwa mujibu wa  wizara ya afya na Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif, ameeleza kuwa kila mwaka Watu 137,000 wanaugua Kifua Kik...
16
Mtoto wa museveni atangaza nia ya urais 2026
Mtoto wa rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Jenerali wa Jeshi, kupitia ukurasa wake wa Twitter  amethibitisha kugombea kiti cha Urais wa N...
16
Blac Chyna aanza safari ya kuondoa mwili wa bandia
Alooooh! Watu siku hizi wanapenda kuwa natural bwana, ni kuhusiana na mwanamitindo kutoka US Blac Chyna ambaye ameianza safari ya upasuaji kuondoa maumbile yote ya bandia kwen...
15
Idadi ya waliofariki kutokana na kimbunga freddy wafikia 200
Zaidi ya watu 200 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya kimbunga Freddy kukumba eneo la kusini mwa Afrika kwa mara ya pili ndani ya mwezi mmoja. Serikali imetan...
15
Afungwa kwa madai ya uongo ya kubakwa aliyoyatoa
Mwanamke mmoja kutoka nchini Uigereza aliefahamika kwa jina la Eleanor Williams aliyetoa madai ya udanganyifu kwamba alibakwa na wanaume wengi na kusafirishwa kiharamu na geng...

Latest Post