30
Ajibadilisha kuwa kama mbwa ili amfurahishe mkewe
Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, mnayajua mapenzi nyie, eeeeh mnajua kupendana au sio shida zenu, vipi uko tayari kujibadilisha kuwa nyau kwa ajili ya kumfurahisha mke wako?...
30
Tanzania yashika nafasi ya 10 mamilionea wa dola
Na Asha CharlesKulingana na ripoti iliotolewa na kampuni ya utafiti ya New Worid Wealth and Henley partner iliotolewa machi 29, mwaka huu imeeleza kuwa Tanzania imeshika nafas...
30
Priyanka Chopra aeleza jinsi mama yake alivyomsaidia kuhifadhi mayai yake
Hellow! I hope uko pouwa mwanangu sana, sasa kama kawaida yetu simnajua kuwa hatunaga mba mba mba, basi bwana kwenye unique story ...
30
Kamala atua nchini
Ni siku chache tuu zimepita tangu Makamu wa rais kutoka nchini Marekani Kamala Harris kutoa playlist ya wasanii wa bongo anaowaskiliza mara kwa mara, hatimae sasa ametua rasmi...
29
Messi ajengewa sanamu
Shirika la soko Amerika Kusini, Conmebol limemzawadia sanamu la heshima mchezaji wa timu ya taifa ya Argentina, Lionel Messi kwa kuingoza timu yake kushinda Kombe la dunia, mw...
29
Mbunge nchini Kenya afariki kwa ajali ya pikipiki
Mbunge kutoka nchini Kenya, Kullow Hassan Maalim, amefariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu hospitalini baada ya kuhusika katika ajali ya pikipiki iliyomgonga na kukimbia, ...
29
Antony Joshua: Nikipoteza mpambano huu nastaafu
Antony Joshua, bondia kutoka nchini Uingereza anayetarajia kuzichapa na Jermaine Franklin, Aprili 1, 2023 ndani ya O2 Arena, jijini London ametoa kauli hiyo baada ya kuwa na m...
29
39 wafariki kwa moto kituo cha wahamiaji
Watu 39 wamefariki katika ajali ya moto, katika kituo cha wahamiaji nchini Mexico. Tukio hilo limetokea katika mji wa Ciudad Juarez, ambapo idadi ya waliojeruhiwa ni 29, huku ...
28
Watatu wakamatwa kifo cha AKA
Kufuatia mauaji ya rapa kutoka nchini Afrika Kusini, Kierman Forbes maarufu kama AKA, wanaume watatu wameripotiwa kukamatwa kuhusiana na mauaji yaliyotokea February ...
28
162 wafutiwa shahada zao
Chuo Kikuu cha St. Augustine kimebatilisha Shahada ilizotoa kwa madaktari wa afya 162 waliohitimu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha St. Francis (SFUCHAS), kua...
28
Wasanii wa Bongo kwenye playlist ya Kamala Harris
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris, ametoa Spotify playlist yake ya nyimbo 25 za Wasanii wa Afrika ambazo anazikubali, alizozipa jina la “Safari Zangu: Ghana, Tanz...
28
6 wauliwa kwa kupigwa risasi na mwanafunzi wa zamani
Watu sita wauliwa, watatu wakiwa watoto na watatu wakiwa ni wafanyakazi kwa kupigwa risasi na mwanafunzi wa zamani katika shule moja katika mji wa Nashville, Marekani. Watatu ...
27
Zijue faida 14 za kufanya tendo la ndoa
Mark LewisTendo la ndoa ni hali ya kukutana kimwili kati ya mwanaume na mwanamke. Tendo la ndoa ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika ...
27
Mwanafa: Watanzania chezeni gofu
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwanafa amesema Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali itahakikisha kuwa inapaza sauti kuh...

Latest Post