Bei ya choo stendi ya mbezi luis yashuka

Bei ya choo stendi ya mbezi luis yashuka

kumekuwa na Malalamiko mara kadhaa kuhusu bei kubwa ya huduma ya vyoo katika kituo cha daladala cha mbezi luis sasa tatizo hilo limepata suluhisho.

Hivi karibuni bei imeshuka wakati hapo awali kupata huduma kwa mtu mmoja ilikuwa Tsh. 500 lakini sasa imeshuka hadi Tsh. 200.

Aidha bei ya Tsh. 500 ililalamikiwa na watumiaji kadhaa hali ambayo inadaiwa ilichangia baadhi ya watu kujisaidia ovyo maeneo tofauti kituoni hapo na kusababisha kuwa na harufu kali.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags