Na Aisha Charles
Katika kutafuta njia ya kupambania ndoto zako ukiwa chini ya uangalizi wa wazazi hasa ukiwa unawategemea kwa kila kitu lazima kutakuwa na mashaka, mzazi au ml...
Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufanyika kwa pambano la Dabi ya Kariakoo, leo kikosi cha Simba kimeanza safari kwenda Zanzibar huku kikizomewa na mashabiki wa Yanga.
Baada...
Kinda wa Tanzania, Harrith Chunga Misonge aliyepo Russia anakoshiriki mashindano ya Games of the Future amekutana na staa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Russia, Andr...
Mdhamini wa ‘klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed (GSM) ametoa zawadi ya vifaa vya matibabu katika hospitali ya Ocean Road kama zawadi ya kusheherekea siku ya yake kumbuki...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Haitham Kim, ambaye siku chache zilizopita mume wake alithibitisha kuwa mwanamuziki huyo yupo ICU akisumbuliwa na ugonjwa wa mapafu amefariki ...
Oooooh! Kumekucha kumekucha unaambiwa hata kama muziki ni burudani, lakini ndani ya mabanda kwenye maonyesho ya 47 ya biashara ya Kimataifa jijini Dar es Salaam maarufu Sabasa...
Vicheko kwa watumiaji wa mafuta ya Petroli na dizeli Julai vitatawala kufuatia kushuka kwa bidhaa hizo katika mikoa inayochukua mafuta hayo bandari ya Dar es Salaam na Tanga i...
Akizungumza na waandishi wa habari, mkuu wa mkoa wa jijini Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka raia waliokusudia kuandamana kupinga mkataba wa Tanzania na DP World waach...
Baada ya kufukuzwa chuo kwa kosa la kufanyiwa mtihani na mwenzake, mwanafunzi washada ya kwanza ya sheria katika chuo cha Tumain Dar es salaam (TUDARCO) aliyefahamika kwa jina...
kumekuwa na Malalamiko mara kadhaa kuhusu bei kubwa ya huduma ya vyoo katika kituo cha daladala cha mbezi luis sasa tatizo hilo limepata suluhisho.
Hivi karibuni bei imeshuka ...
Watu saba wamejeruhiwa na kupelekwa Hospitali ya Kairuki kwa ajili ya matibabu baada ya lifti kuporomoka kutoka ghorofa ya 10 katika jengo la Millenium Tower lililopo Kijitony...
Zimepita siku nne tuu tangu Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al- Hikma kutangaza nia ya kuwalipia mahari vijana 50 ambao wapo tayari kuoa inaelezwa kuwa zaidi ya watu...
Hehehehe! Nyie nyie nani kasema wanawake hawawezi, basi bwana bondia mwanamke kutoka nchini Tanzania Stumai Muki ameshinda katika pambano la ngumi, dhidi ya Chimwe...
Kwa mujibu wa wizara ya afya na Mratibu wa Kifua Kikuu na Ukoma Jijini Dar es Salaam, Dkt. Mbarouk Seif Khaleif, ameeleza kuwa kila mwaka Watu 137,000 wanaugua Kifua Kik...