13
Waliotuma maombi ya kutolewa mahari wafikia 1000
Zimepita  siku nne tuu tangu Taasisi ya dini ya Kiislamu ya Al- Hikma kutangaza nia ya kuwalipia mahari vijana 50 ambao wapo tayari kuoa inaelezwa kuwa zaidi ya watu...
13
Harmonize hakuwa na kibali kurekodi Zanzibar
Sasa mambo hadharani!!! Yapata siku kadhaa zimepita tangu msanii Harmonize atuonyeshe kwenye mitandao ya kijamii kuwa yuko Zanzibar kwa ajili ya kushoot video za baadhi ya nyi...
13
Hapa ndio anapolala Elon Musk
Eeeeeh! Mwenzangu wewe unalala kwenye godoro la aina gani, au basi acha tuu, basi bwana unaambiwa mmiliki wa mtandao wa Twitter Elon Musk ambae ni tajiri mkubwa duniani akiwa ...
13
Waliofariki kutokana na kimbunga Freddy wafikia 1000
Rais kutoka nchini Malawi Lazarus Chakwera ametangaza idadi ya watu waliofariki kutokana na kimbunga freddy nchini humo, kuwa imeongezeka na kufikia idadi ya watu 1,000 h...
13
6ix9ine atua Uganda kwaajili ya kushoot video yake
Rapa kutoka nchini Mexico Daniel Hernandez maarufu kama 6ix9ine siku za hivi za karibuni alitangaza kuwa anatarajia kuja Afrika ku-shoot video ya ngoma yake ya wapae. Watu wal...
12
Waliofutiwa matokeo ya kidato cha nne waruhusiwa kurudia mitihani
Na Asha CharlesWizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa idhini ya kurudia mtihani kwa wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo yao ya  kidato cha nne kwa mwaka 2022 baada y...
12
Mtoto aiba gari ya baba yake na kwenda kwa mtu aliekutana nae mtandaoni
Msichana wa miaka 12 kutoka Florida nchini Marekani na rafiki yake wa miaka 14 walifunga safari ya maili 400 kuvuka mipaka ya jimb...
12
Viatu vya Jordan kuuzwa Zaidi ya dola million 2
Viatu vya mchezaji maarufu wa kikapu Michael Jordan, Air Jordan XIIIs vilivyovaliwa katika fainali za NBA mwaka 1998 vimeuzwa kwa dola milioni 2.2  Pea moja ya viatu vya ...
11
Bibi wa miaka 78 ashtakiwa kwa wizi banki
Na Asha Charles Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, ama kweli hali ngumu basi bwana unaambiwa bibi aliejuliakana kwa jina la Bonnie Gooch mwenye umri wa miaka 78, ameshtakiwa kw...
11
WFP kuchunguza uuzwaji wa chakula cha msaada
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), linachunguza wizi wa chakula cha msaada kupitia operesheni za kiutu nchini Ethiopia, hii ikiwa ni kulingana na barua ambayo shirika...
11
Ukraine na Urusi kubadilishana wafungwa
Rais kutoka nchini Ukraine, Volodymyr Zelensky amethibitisha kuachiliwa kwa wafungwa wa kivita kama sehemu ya makubaliano kati ya Ukraine na Urusi. Makubaliano hayo yamefaniki...
11
Ajifanya mwanaume ili apate nafasi ya kuchimba madini
Duh! Ama kweli mambo ni mengi muda mchache, ukiambiwa kuwa uyaone si maghorofa, basi bwana leo katika segment yetu ya unique story tumekusogezea mwanamama ambaye ameamua kujib...
11
Mfanyakazi wa benki aua watu watano kwa risasi
Connor Sturgeon mwenye umri wa miaka 25 kutoka nchini Marekani, amefanya shambulio la kuua watu watano kwa risasi, huku akirusha mubashara(live) tukio hilo katika mtandao wake...
10
Bibi harusi afyatua risasi kwenye harusi yake na kukimbia
Hahahah! Ama kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya firauni, sasa hapa ndo nayaona basi bwana polisi kutoka nchini India katika jimbo la Uttar Pradesh wanamsaka mwanamke aliye...

Latest Post