21
Apigwa risasi na kuuwawa akidhaniwa ni sungura
Mwanamume mmoja raia wa China amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mwindaji ambaye alidhania kuwa ni sungura. Adlyne Wangusi Moujin alianguka kwenye shimo baada ya kupig...
21
Wasudan 20,000 wakimbilia Chad
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa kati ya watu 10,000 na 20,000 wamekimbia mapigano makali Sudan na kutafuta usalama katika nchi jirani ya Chad. Shirika la Umoja wa Mataifa l...
20
Mama yake Hakimi afunguka sakata la talaka ya mwanae
Baada ya sakata lililoshika vichwa vya habari duniani na kutrendi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mchezaji wa timu ya taifa ya Morocco na klabu ya PSG Achraf Hakimi k...
20
Mume amuacha mkewe kwa kumuita mama mkwe mchawi
Mwanamume moja alifahamika kwa kwa jina la Agyei Mensa raia wa Ghana anaeishi nchini Sweden alikatisha ndoa yake na mke wake mpendwa hali hambayo imezua taharuki katika mitand...
20
Wanajeshi 320 Sudan wakimbia kukwepa mapigano
Wanajeshi kutoka nchini Sudani wamekimbia nchi yao kukwepa mapigano yanayoendelea na wamekimbilia nchi jirani ya Chad wakihofia kuuawa na wanamgambo wa kikosi cha Rapid Suppor...
20
Zaidi ya watu 70 wafariki katika mkanyagano wa kupokea misaada ya ramadhani
Takriban watu 78 wameuawa katika mkanyagano katika shule moja ilioko mji mkuu wa Yemen, wakati wa ugawaji wa misaada kwa ajili ya ...
19
India yaongoza kwa watu wengi duniani
India imeipiku sasa China kama Taifa lenye watu wengi zaidi Duniani, kulingana na ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa (UN) mapema hii leo, idadi ya Natu Nchini humo imefiki...
19
Binti afariki akiwa anajiandaa na mazishi ya baba yake
Kufatiwa na mwanamke ambaye mbae jina lake halikufahamika wakati apokuwa anajiandaa kumzika mumewe katika eneo la Mukumu nchini Kenya alipata pigo lingine kubwa baada ya binti...
19
Mtoto wa siku 4 akutwa kwenye shimo la choo
Mtoto mchanga aliyetupwa kwenye choo cha shimo na mtu asiyejulikana huko Kisii nchini Kenya alikuwa akilia sana nakupelekea umma kujua huyo mtoto analia kuotokea wapi. Kulinga...
19
Lulu amjibu Mange Kimambi
Baada dada wa Taifa Mange  kuandika habari katika app yake kuwa Elizabeth Michael maarufu kama Lulu  kuwa ni muathirika wa HIV  Muigizaji huyo wa...
19
Neymar na mpenzi wake watarajia kupata mtoto
Ooooooh! Kama tunavyojua bwana tumeambiwa tuje tuzaliana na tuijaze dunia basi bwana unaambiwa star wa timu ya Brazil na klabu ya Psg Neymar pamoja na mpenzi wake Bruna Bianca...
18
Mwamnyeto: Tutalipa kisasi katika kombe la ASFC
Aloooooooh! Baada ya kulala hoi weekend hii kwa kichapo cha bao mbili mtungi, wananchi wameibuka tena na kusema kuwa wanaamini watalipiza kisasi katika kombe la Azam sport fed...
18
Omondi aitaka serikali ya Kenya kuwajali wananchi wake
Mchekeshaji kutoka Kenya Eric Omondi amewalipia billi akina mama wa tano waliokuwa kidaiwa katika hospitali waliojifungulia, baada ya kujua kuwa baadhi yao walikuwa na madeni ...
18
Rais Samia atoa pongezi kwa Geay
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza mwanariadha kutoka Tanzania, Gabriel Gerald Geay kwa kushika nafasi ya pili kwenye mbio za Boston...

Latest Post