Washtakiwa kwa kusafirisha chungu kiharamu nje ya nchi

Washtakiwa kwa kusafirisha chungu kiharamu nje ya nchi

Wakenya watatu washtakiwa kwa jaribio la kusafirisha chungu (sisiminzi) wenye thamani ya shilingi 300,000 za Kenya bila kibali kutoka shirika la Wanyama Pori nchini humo.

Wastakiwa hao watatu, wakiwa ni mume, mkewe na mtu mwingine wanadaiwa kutaka kusafirisha chungu kinyume cha sheria kwa nchi za China na Ufaransa.

Hata hivyo, watu hao walikanusha mashtaka dhidi yao ya kuhusika na spichi za wanyama walio hai bila idhini. Huku wakati wa kesi hiyo, mwendesha mashtaka alimtaka jaji kuharakisha usikilizaji wake kwa sababu maisha ya chungu hao yako hatarini.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags