Baadhi ya kampuni kutoka nchini China zimeripotiwa kuwa na mpango wa kuhamasisha wafanyakazi wasio na wapenzi kwa kuwapa pesa.Imeelezwa kuwa wafanyakazi wasiokuwa na wenza wat...
Wakati baadhi ya wazazi wa Bongo wakiwatafutia watoto wao wenza katika familia zenye uwezo ama ambazo wanajuana nazo kwa muda mrefu, lakini jijini Shanghai nchini China ni tof...
Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Liu kutoka nchini China amepigwa faini baada ya kamera za barabarani kumnasa akijikuna shavu.Kulingana na gazeti la Jilu Evening Post,...
Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini China wamestaajabishwa na muundo wa kituo kipya cha treni, kituo hicho kufananishwa na taulo za kike (pedi).Muundo huo uliyopendekezwa ...
Polisi nchini #China wamezindua kifaa aina ya roboti ambacho kinauwezo wa kuhamisha magari yaliyoegeshwa vibaya.Kifaa hicho ambacho kilipewa jina la ‘#Valet’ kinau...
Ukistaajabu ya Mussa, utayaona ya Firauni, wakati baadhi ya watu wakitumia mvinyo uliotengenezwa na zabibu kwa ajili ya kujiburudisha, fahamu kuwa wapo wanaotumi mvinyo uliote...
Hili ndiyo jengo ambalo linadaiwa kuwa na zaidi ya wakazi 20,000 lipatikanalo Hangzhou nchini China ambalo lilipewa jina la ‘Regent International’.
Jengo hilo lina...
Njiwa aliyedaiwa kuwa jasusi (mpelelezi) wa China ameachiwa huru Jumanne Januari 30, baada ya kuzuiliwa na polisi kwa miezi nane. Njiwa huyo alikamatwa karibu na Bandari ya Mu...
Taasisi ya Kimataifa ya Uchambuzi wa Mifumo (IIASA), imeeleza kuwa idadi ya watu duniani inakadiriwa kufikia bilioni 9.4 ifikapo mwaka 2070, licha ya kudaiwa kuwepo kwa ongeze...
Kampuni ya teknelojia kutoka nchini China, ‘Betavolt’ kwa mara ya kwanza imetengeneza ‘betri’ kwa ajili ya simu janja ambazo zitakuwa zikidumu na chaji...
Leo katika Fashion tutazungumzia nguo za marinda zilivyo kuwa na wafuasi wengi na imeonekana kipindi cha hivi karibuni ndiyo mtindo ambao umeonekana kuvaliwa sana japo ni vazi...