Wimbo wa Celine Dion waweka rekodi

Wimbo wa Celine Dion waweka rekodi

Ikiwa ni Zaidi ya masaa 72, tangu ajali ya Titan kutokea, wimbo wa 'My Heart Will Go On' wa mwimbaji Celine Dion kutoka katika filamu ya Titanic, umepanda idadi ya wasikilizaji kwenye majukwaa mbalimbali ya muziki.


Pia wiki hii, dunia imekuwa ikifuatilia kwa ukaribu habari za Titan ya OceanGate, chombo cha kuzamia majini kilichokuwa kikifanya safari za kupeleka watalii kuelekea eneo la ajali ya Titanic kwa gharama kubwa.

Siku kadhaa baada ya chombo hicho kupotea, ilibainika kuwa kiliharibiwa kwa mlipuko mkubwa. Afisa Mtendaji Mkuu wa OceanGate pamoja na watalii wanne wa Titanic walipoteza maisha katika tukio hilo la kusikitisha.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags