05
Jamie Foxx kuja kama Celine Dion
Mwigizaji wa Marekani Jamie Foxx amedai kuwa yupo tayari kuzungumzia changamoto na mapito aliyoyapitia wakati alipokuwa mahututi.Foxx anatarajia kuelezea mapito hayo kupitia o...
21
Adele ahifadhi bigijii iliyotemwa na Celine Dion 2019
Thamani ya kitu hutokana na mtu anavyokichukulia, na wakati mwingine hata mbabe huwa na mbabe wake. Ikiwa leo ni Jumatano siku ambayo ulimwengu huadhimisha siku ya wanawake wa...
12
Celine Dion achukizwa na Trump kutumia wimbo wake
Timu ya mwanamuziki Celine Dion imeoneshwa kukerwa na mgomea wa Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kutumia moja ya wimbo wa msanii huyo kwenye kampeni iliyofanyika jijini Mont...
03
Linapokuja suala la historia Celine Dion yupo tayari kwa lolote
Mwanamuziki mkongwe wa Canada Celine Dion afunguka kuwa linapokuja suala la historia yake yupo tayari kwa lolote.Mkali huyo wa ‘My Heart Will Go On’ akizungumza na...
11
Celine Dion kutumbuiza olimpiki Paris 2024
Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Canada, Celine Dion ameripotiwa kutumbuiza  katika sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 licha ya kuwa na ugonjwa wa ...
29
Video ya mateso aliyopitia Celine Dion dhidi ya ugonjwa wake
Baada ya mwanamuziki kutoka Marekani Celine Dion kuachia ‘trela’ ya filamu yake huku ikiteka vichwa vya habari baada ya kuonekana akimwaga machozi, hatimaye filamu...
11
Ugonjwa wa Celine Dion ulimuanza mwaka 2008
Mwanamuziki wa Canada Celine Dion, ameweka wazi kuwa ugonjwa aliokuwa nao wa ‘Stiff Person Syndrome’ ulianza kumsumbua toka mwaka 2008. Dion ameyasema hayo wakati ...
30
Celine Dion anatarajia kutumbuiza kwa mara ya mwisho
Mwanamuziki wa Marekani Celine Dion ambaye anasumbuliwa na ugonjwa adimu wa Stiff Person Syndrome (SPS), tangu mwaka 2022 ameripotiwa kupanga kutumbuiza kwa mara ya mwisho kat...
24
Filamu yenye mapito ya Celine Dion mbioni kuachiwa
Mwanamuziki Celin Dion amezua gumzo mitandaoni baada ya trela ya filamu yake ikimuonesha akilia kwa uchungu wakati akielezea mapito yake kufuatia na ugonjwa unaomsumbua wa &ls...
19
Matatizo ya misuli yamtesa Celine Dion
Dada wa mwanamuziki maarufu kutoka nchini Marekani Celine Dion, Claudette Dion ametoa taarifa mpya kuhusiana maendeleo ya mwanamuziki huyo kwa kuweka wazi kuwa kwa sasa Celine...
05
Claudette: Ugonjwa wa Celine Dion hauna dawa
Dada wa mwanamuziki maarufu duniani Celine Dion, anaye fahamika kama Claudette Dion, kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni amedai kuwa hakuna dawa yoyote itakayoweza kumfany...
26
Wimbo wa Celine Dion waweka rekodi
Ikiwa ni Zaidi ya masaa 72, tangu ajali ya Titan kutokea, wimbo wa 'My Heart Will Go On' wa mwimbaji Celine Dion kutoka katika filamu ya Titanic, umepanda idadi ya wasikilizaj...

Latest Post