Burna Boy aandika rekodi, ashinda tuzo ya BET

Burna Boy aandika rekodi, ashinda tuzo ya BET

Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy usiku wa kuamkia leo Juni 26 ameshinda tuzo ya BET Best International Act 2023 ikiwa ni mara yake ya nne.

Tuzo hiyo ambayo ni ya nne kwake inamfanya awea msanii wa kwanza kufanya hivyo Afrika akichukuwa mwaka 2019, 2020, 2021 na 2023 imetangazwa jana katika ukumbi wa Microsoft uliopo Los Angeles, Marekani.

Burna Boy amewabwaga Aya Nakamura (Ufaransa), Ayra Starr (Nigeria), Central Cee (Uingereza), Ella Mai (Uingereza), KO (Afrika Kusini), L7nnon (Brazil), Stormzy (Uingereza), Tiakola (Ufaransa), Uncle Waffles (Swaziland).






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags