Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
Mke wa zamani wa nyota wa NHL Evander Kane, Anna Kane ameweka wazi kuwa yeye ni moja ya watu ambao wamewasilisha mashitaka yao kufuatia na kesi zinazomkabili Diddy Combs za un...
Kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporomoka kwa moja ya jengo Kariakoo na kusababisha maafa pamoja na majeruhi baadhi ya mastaa wametoa salamu zao pole kwa wafanyab...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Burna Boy anatarajia kutoana jasho na ma-rapa wakubwa kutoka Marekani katika tuzo za BET Hip Hop za mwaka 2024.Kupitia tuzo hizo zinazotarajia...
Mwigizaji wa Bongo Movie Elizabeth Michael ‘Lulu’ wakati akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 22, jijini Dar es Salaam amesema kuwa uhusika anaocheza kwen...
Mwanamuziki kutoka Marekani Snoop Dogg amekumbuka mchango wa marehemu Malikia Elizabeth kutokana na mambo aliyowahi kumfanyia enzi za uhai wake.Wakati alipokuwa kwenye mahojia...
Ikiwa imepita siku moja tangu mwanamuziki wa zamani wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anaishi jijini Paris, Ufaransa Rehema Chalamila ‘Ray C’ kuwataka wasanii wenye u...
Waandaaji wa Tuzo za BET wamemuomba radhi mkali wa R&B Usher baada ya hotuba yake kutosikika kwa mashabiki walioko majumbani.
BETiliomba radhi kwa mshindi huyo mara nane w...
Peter Akaro
Usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Peacock huko Los Angeles, Calfornia nchini Marekani kumetolewa tuzo za BET 2024 ambapo Usher Raymond IV na Tyla ndio mastaa w...
Mwigizaji na ‘rapa’ wa Marekani Will Smith ameripotiwa kurudi tena jukwaani kama mwanamuziki ambapo anatajiwa kutumbuiza katika Tuzo za BET.
Katika taarifa iliyoto...
Tangu kuanzishwa kwa mashindano ya kusaka warembo, Miss Tanzania mwaka 1967 tayari imepita miaka 57, huku taji hilo likiwa limevaliwa na warembo 30 hadi kufikia mw...
Kampuni ya teknelojia kutoka nchini China, ‘Betavolt’ kwa mara ya kwanza imetengeneza ‘betri’ kwa ajili ya simu janja ambazo zitakuwa zikidumu na chaji...
Kampuni ya Cluvens imetoa kiti cha ‘teknolojia’ chenye muundo wa Nge kiitwacho ‘Scorpion Computer Cockpit’ kwa dhumuni la kuwarahisishia watumiaji wa k...