Kiungo wa klabu ya Yanga, Benard Morisson (BM 3) amethibitisha kuwa ametuma maombi kwenda Wizara ya mambo ya ndani ya nchi akiomba kuwa raia wa Tanzania. Kupitia mahojiano ya...
Dunia ya leo kumekuwa na vitu vingi vya kustaajabisha na kushangaza imekuwa kawaida sana kutokea matukio ambayo huwezi kuya dhania kama yangetokea moja ya tukio lililowapa wat...
Hahahah! Kama kawaida bongo hatunaga jambo dogo, baada ya kutangazwa taarifa masaa machache yaliyopita kuhusiana na wanafunzi kutoka nchini Sudani kuhamishiwa Tanzania.
Gumzo ...
Akizungumza na waandishi wa habari, mkuu wa mkoa wa jijini Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka raia waliokusudia kuandamana kupinga mkataba wa Tanzania na DP World waach...
Baadhi ya timu kutoka ligi kuu nchini Saudi Arabia kusajili wachezaji wengi wanaoelekea kumaliza maisha yao ya soka Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin ametoa tahadhari ya kutoru...
Kijana Nafiu Sulaiman mwenye umri wa miaka 19, amekamatwa na polisi baada ya kujiteka nyara yeye mwenyewe na kukusanya fidia ya Zaidi ya million moja ya kitanzania kutoka kwa ...
Waswahili wanasema cha kale ni dhahabu msemo huo umethibitika huko nchini Iraq baada ya kupatikana kipande cha jiwe chenye umri wa miaka 2,800 kimeonyeshwa baada ya kurejeshwa...
Hahahahaha! Make hapa kwanza ncheke, kama inavyo julikana wawili hawa Mayele na Inonga wakiwa katika ardhi ya Tanzania wanakuwa mahasimu, kufuatiwa na klabu zao wanazo zicheze...
Pande mbili za mahasimu nchini Sudani wamekubaliana kusitisha mashambulizi na kuruhusu watu kutembea ili kuwezesha utoaji na ufikiaji wa misaada ya kibinadamu.
Tangu aprili mw...
Aliekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga Nasreddine Nabi amefichua kwamba Bilionea Ghalib Said Mohamed 'GSM' amempa mualiko rasmi kwamba atafurahi kumuona kwenye Tamasha la kilel...
Nawasalimu kwa jina la ubuyuu, semeni basi biashara ziendeleee, na hapa hatuzungumzii ubuyu ule mnaoujua nyie wa umbea hapa nazungumzia kufanya biashara, kutafta hela kwa kuch...
Naam!! Tumekutana tena hapa hapa waungwana wenzetu kuyajadili yale yote usio yafahamu kuhusu kazi, nikutoe tu hofu sisi Mwananchi Scoop lazima tukwambie kitu cha msingi katika...
Enhee!! Nakusalimia kwa jina la fashion, fashion ziendelee kama kawaida ni weekend nyengine tunakutana tena hapa hapa kwaajili ya kukudadavulia yale yote yanayo happen katika ...
Na Elizabeth Malaba
Hello!! Mambo niaje my people, I hope mko poa kama kawaida hatunaga shaka inapofikia swala la kukupa nondoo za Afya, kama kawaida tupo hapa kujuzana kuhusi...