09
Watu 12 wafariki dunia huku zaidi ya 50 wamejeruhiwa
Watu 12 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Frester lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar...
09
Zaidi ya watu 15,000 wafariki katika tetemeko la ardhi
Idadi ya watu waliofariki katika matetemeko Mawili yenye kipimo cha Richa 7.8 na 7.6 yanazidi kuongezeka kadri muda unavyosogea, ambapo hadi hivi sasa Turkey  imerek...
08
Mahakama yasitisha tarehe ya mwisho kubadilisha noti
Mahakama ya Juu nchini Nigeria imesitisha kwa muda shauri la kuacha kutumia noti za zamani, jambo ambalo lilikuwa limesababisha mzozo wa fedha nchini humo. Benki nyingi hazija...
08
Klabu ya Juventus yakanusha kumtema Pogba
Ofisa mkuu wa klabu ya  Juventus  Francesco Calvo amekanusha tetesi zinazo sambaa katika mitandao ya kijamii kuwa upo mpango wa kuvunja mkataba na mshambuliaji wao P...
08
Man. City hatarini kuondolewa katika ligi ikibainika wanahatia
Timu ya mpira wa miguu ya Manchester City ipo hatarini kukatwa pointi au kuondolewa katika ligi ikiwa itakutwa na hatia kwenye tuhuma za kuvunja sheria wanazodaiwa kuzifanya m...
07
Baharia wa vita vya pili vya dunia atimiza miaka 100
Baharia wa Wanamaji wa Kifalme Morrell Murphy ambaye aliripotiwa kufariki wakati wa vita vya pili vya dunia amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 100. Mwa...
07
RIPOTI: Zaidi ya watu 300 wafariki kwa ajali za barabarani
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama ya Bunge imebaini kuwa vifo vingi hutokana na ajali nyingi ambazo zinasababishwa na uhaba wa vitendea kazi, taa za barabarani, kamera...
07
Kampuni ya DELL kuwaachisha kazi wafanyakazi 6,650
Kampuni ya kuunda vifaa vya kielektroni ya DELL itawaachisha kazi wafanyakazi 6,650 sawa na 5% ya wafanyakazi wote kutokana na mauzo ya kompyuta kupungua kwa 28% kila mwaka.DE...
07
Zaidi ya watu 4,300 wafariki tetemeko la ardhi Uturuki
Ripoti za idadi ya waliofariki inaendelea kuongezeka kufuatia tetemeko la ardhi la ukubwa wa 7.8 kwa kipimo cha richa kuzipiga Uturuki na Syria, usiku wa kuamkia Februari 6, 2...
06
Zai wa kijiwe Nongwa alamba ubalozi
Alooooh kipo cha kujifunza kutoka kwa mwanadada maarufu anayefanya vichekesho hususani mambo yanayotokea uswahilini,hatimaye amepata ubalozi wa lotion ya kupaka inayoondoa nyw...
06
Burna Boy apigwa chini tuzo Grammy
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Burna Boy, bwana weeeh ni kama ana bahati mbaya na tuzo za Grammy, hii ni baada ya muendelezo wa kukosa tuzo hizo kubwa duniani.Kwa mara...
06
Zaidi ya watu 300 wafariki katika tetemeko la ardhi, Uturuki
Idadi ya waliokufa katika tetemeko kubwa la ardhi lililotokea Kusini Mashariki mwa Uturuki, karibu na mpaka wa Syria ni zaidi ya 100 huku wengine wakihofiwa kukwama katika vif...
06
Mwili wa rais wa zamani Pakistani kurejeshwa nyumbani
Aliyekuwa Rais wa zamani nchini Pakistan Pervez Musharraf ambaye alishiriki Mapinduzi ya Kijeshi Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa Miaka 79 alipokuwa akipatiwa Matibabu&nb...
06
Beyonce avunja rekodi tuzo za Grammy
Mwanamuziki nchini Marekani, Beyonce ameandika rekodi nyingine tena ya kushinda tuzo ya Grammy ambapo anakuwa msanii anayeshikilia rekodi hiyo duniani kwa muda mrefu baada ya ...

Latest Post