Mamilioni ya wasafiri leo Machi 27, 2023 wanalazimika kutafuta njia mbadala ya usafiri kutokana na mgomo katika Sekta ya Uchukuzi inayotarajiwa kudumu kwa saa 24. Mgomo huo u...
Shirika la Reli nchini Kenya limesitisha shughuli zake zote za treni ya abiria katika mji mkuu wa Nairobi, kabla ya maandamano ya kupinga serikali Jumatatu hii yaliyoitishwa n...
Baada ya tetesi kadhaa kupitia mitandao ya kijamii, hatimaye pande zote mbili zimeafikiana kuvunja mkataba na kocha mkuu Antonio Conte, na timu itakuwa chini ya uangalizi wa k...
Hellow!! Its another day, kama kawa kama dawa kwenye kipengele chetu pendwa kabisa cha masuala ya fashion hapa ndiyo sehemu ya pekee ya kujidai kwa wote wanaopenda urembo...
Habari karibu sana mdau wa magazine ya mwananchi scoop kama kawaida yetu lazima tupeane maarifa mbalimbali kuhusiana na masuala ya kazi,ujuzi na maarifa.
Kwenye sekta hii bwan...
Alooooweeee! Alootenaaa! Ila tuache masihara bwana watu wangu wa segment ya burudani nimewamisi mnoo, haya leo bwana tumeshuka na mada ambayo baadhi ya watu watakuwa wanajua l...
Mwanaume mmoja aliyefahamiaka kwa jina la Katayo Bote, Mkazi wa Kijiji cha Kibwera, mkoani Geita, amechapwa viboko hadharani pamoja na kulipishwa faini ya shilingi laki mbili ...
Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wametumwa misikitini ili kuhakikisha usalama wa maisha na mali katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Kufuatia taari...
Kampuni maarufu ya kutengezea nguo, viatu na vifaa mbalimbali ya Adidas imevunja mkataba wake na mwanamuziki mashuhuri kutoka nchini Marekani Beyonce, kutokana na mauzo ya bid...
Kufuatia ugonjwa hatari wa Marburg kutoka mkoani Kagera watu 193 wawekwa karantini kwaajili ya uchunguzi zaidi, Miongoni mwa watu hao ni watumishi wa afya 89 na weng...
Shirika la Afya duniani (WHO) limetaja nchi ambazo zimeathirika na ugonjwa wa kipindupindu, ambapo shirika hilo limesema kuwa ugonjwa huo umeenea duniani kote, haswa barani Af...
Serikali kutoka nchini Zimbabwe imetaka wafanyakazi wote wa umma kuongezewa mshahara kwa 100%, aidha imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi...
Hehehehe! Nyie nyie nani kasema wanawake hawawezi, basi bwana bondia mwanamke kutoka nchini Tanzania Stumai Muki ameshinda katika pambano la ngumi, dhidi ya Chimwe...