Eric Omondi na mpezi wake watarajia kupata mtoto

Eric Omondi na mpezi wake watarajia kupata mtoto

Mchekeshaji kutoka nchini Kenya Eric Omondi anatarajia kuitwa baba siku chache zijazo baada ya kuweka wazi kuwa mpenzi wake anaejulikana kwa jina la Lynne ni mjamzito.

Rais huyo wa Comedy Afrika pamoja na mpenzi wake wameshare taarifa hiyo njema kupitia mitandao yao ya kijamii ya instagram na kusema kuwa..

“Imenichukua miaka 41 lakini hatimaye mungu amenibariki na mpenzi wangu, Tunda la ubavuni mwangu nahisi kama Sara wa Abrahamu katika Biblia, alisubiri maisha yote kwa ajili ya mtoto wake mwenyewe. asante mpenzi wangu kwa kunifanya kuwa baba” ameandika Omondi



Lynne ni mwanamitindo na socialite kutoka Kenya amekuwa kwenye mahusiano na Eric kwa muda sasa mpaka imefikia hatua hii ya kuwa mama kijacho wa mkali huyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags