Davido: Nisingekuwa mwanamuziki basi ningekuwa comedian

Davido: Nisingekuwa mwanamuziki basi ningekuwa comedian

Msanii kutoka nchini Nigeria Davido  kwenye moja ya interview aliyoifanya hivi karibuni amesema kwamba kama asingekuwa mwanamuziki basi angekuwa mchekeshaji (comedian)

“Kama nisingefanya muziki, ningekuwa mchekeshaji, tangu shule nilikuwa mtu wa kuwachekesha watu napenda sana kuwafanya watu wafurahi” amesema Davido

Alooooo! Kwa mtazamo wako mwanangu sana je mwamaba huyu angeweza kuwachekesha watu au anatupiga na kitu kizito, dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu utueleze maoni yako.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags