Wabunge wamewasilisha Bungeni muswada unaopendekeza adhabu mpya kali kwa wanaojihusisha/watakaojihusisha na uhusiano wa jinsia moja, licha ya ukosoaji kutoka kwa mashirika ya ...
Gavana wa Taliban wa jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan ameuawa katika shambulio la kujitoa mhanga linalodaiwa na kundi la Islamic State (IS). Mohammad Dawood Mu...
Kikitokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita, Kimbunga Freddy kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa Kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi Vi...
Muigizaji wa Filamu Nchini Tausi Mdegela Amefunguka juu ya changamoto za unyanyasaji anazokumbana nazo mitandaoni, kazini pamoja na mitaani kutokana na muonekano wa...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ameruhusu wafanyabiashara wanaoanza biashara kutolipa kodi kwa kipindi cha miezi sita hadi mwaka mmoja. K...
Hahahahah! Make hapa kwanza ncheke, bwana hivi mnaweza kuamini kuwa ile hakuwa ndoa? Basi bwana kwa mujibu wa Mama mzazi wa Paula Majani, Kajala amefunguka na kusema kuwa...
Kampuni maarufu duniani kote ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata h...
Watoto wa Duke na Duchess wa Sussex wamepewa majina rasmi ya Mwanamfalme na Bintimfalme katika wavuti rasmi wa Ufalme wa Uingereza.
Hii inakuja siku moja baada ya Mwanamfamle ...
Bodi ya maziwa nchini Kenya imepiga marufuku uagizaji wa maziwa ya unga kwa muda usiojulikana ili kuwalinda wasindikaji wa ndani na wakulima kutokana na uzalishaji wa ziada na...
Polisi nchini Uganda walifunga kwa muda mfupi barabara ya mwendokasi yenye shughuli nyingi zinazounganisha mji mkuu wa Kampala na uwanja wa ndege wa nchi hiyo baada ya hofu ya...
Miezi 3 tangu Serikali ya Taliban itoe zuio kwa Wanafunzi wa Kike kusoma Vyuo Vikuu, utekelezaji umeanza baada ya kuanza muhula mpya wa masomo huku Wanawake wakitakiwa ku...
Wafanyakazi mbalimbali watashiriki katika mgomo wa nchi nzima nchini Ugiriki leo wakiandamana dhidi ya mkasa wa ajali ya treni ambao haukuwahi kutokea nchini humo na kuf...
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe, Dkt. Isaya Mwasubila, amesema tafiti zimebaini maambukizi makubwa ya ugonjwa wa usubi katika maeneo 4 ambayo ni Itipula 30%, Igola...
Aliyekuwa malkia wa urembo wa Mexico, Priscila Guevara pamoja na mpenzi wake Consantin Dumitru wahukumiwa kifungo cha miaka minne nchini Uhispania kwa kuiba chupa 45 za mvinyo...