Style za kujamiiana zinaweza kuvunja uume

Style za kujamiiana zinaweza kuvunja uume

Ebanaeee!! Hii kali niwatahadhalishe tu wale wanaume wa kukamia game mkiwa falagha mambo ni tofauti, tafiti za madaktari wa idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo (UTI) katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebainisha kuwa mitindo (style) mbalimbali ya kujamiiana inaweza kusababisha uume uliosimama kwa muda mrefu kuvunjika.

Ukiwemo mtindo wa Mwanaume kukaliwa juu na Mwanamke mwenye uzito mkubwa.

Utafiti wa Madaktari hao umechapishwa kwenye Jarida la kimataifa la Case za Upasuaji (International Journal of Surgery Case Reports, 108(2023)108415) ambapo wameripoti kufanya upasuaji wa kuunga uume wa kijana mwenye umri wa miaka 27 uliovunjika wakati akijamiana na mwenza wake.

Hata hivyo, utafiti huo unadokeza kuwa tafiti zilizofanyika katika Mataifa ya Ulaya na Marekani zimeonesha kuwa asilimia 93.3 ya ajali za uume hutokana na kujamiiana. Haya sasa wanetu je hii imeenda dondosha comment yako tuone hapo.

Chanzo: millardAyo






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags