Cobra: Sipendi kukutana na watu maarufu

Cobra: Sipendi kukutana na watu maarufu

Hivi karibuni bwana motivational speaker Cobra Andrew Tate alitrend mitandaoni baada ya kusema anatafutwa sana na mastaa wakubwa duniani ili wakutane nae, ila kutokana na tabia zao imekuwa ngumu kwake kukutananao.

Kukataa huko kunatokana na mastaa wengi wa Marekani kujibadilisha mionekana yao.

Kupita ukurasa wake wa twitter mshauri huyo ameonyesha sababu moja wapo ya kukaa mbali na mastaa hao ni pamoja na vitendo vyao kama kitendo cha Drake kupaka rangi kwenye kucha za vidole vyake vya mikono.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags