Mhasibu ashtakiwa kwa ubadhirifu wa milioni 21

Mhasibu ashtakiwa kwa ubadhirifu wa milioni 21

Mhasibu wa mahakama kuu ya kanda Tabora, Beda Mnyaga Nyasira, amefunguliwa mashtaka ya kuingilia mfumo wa malipo na kuwalipa wanaodai mirathi katika mahakama kuu kanda ya Mtwara.

Baada ya kusomewa mashtaka, mtuhumiwa huyo aliomba kufanya makubaliano ya plea bargain na ofisi ya mwendesha mashtaka.

Hivyo aliachiwa kwa dhamana baada ya kutimiza masharti, kesi itatajwa tena leo julai mwaka huu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags