Diamond atangaza kupata mtoto mwengine

Diamond atangaza kupata mtoto mwengine

Diamond amethibitisha kuwa anatarajia kuongeza mtoto mwingine mwezi Januari baada ya kuikamata namba 1 YouTube kupitia remix ya wimbo wake ‘Baby’alioshirikiana na Chike.

Hivi karibuni kabla ya dual-release Diamond alijinadi kwamba anataka kukaa namba moja hadi mwezi Januari kwa hits kali ambazo ataziachia back to back.

Licha ya kutomtaja jina mpenzi wake huyo ambaye anatarajia kupatanae mtoto wa 5, ila Diamond hakuacha habari hii iwe siri baada ya kuandika  “Haya tukutane Januari mchumba anapoenda kujifungua”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags