Taarifa rasmi kutoka uongozi wa Simba leo umemtangaza rasmi Iman Kajula kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa kikosi hicho, akichukua nafasi iliyoachwa na aliyekuwa CEO...
Taarifa kutoka Ruvuma ambapo Idadi hiyo imefikiwa baada ya msako wa Nyumba kwa Nyumba uliofanywa na Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro, kutokana Wanafunzi wengi wa Dara...
Mamlaka nchini Ghana inachunguza hali iliyosababisha kuzama kwa boti iliyouwa watoto nane wa shule kwenye ziwa Volta, katika eneo la kusini mashariki.
Mamlaka za eneo hilo zil...
Aliekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ataruhusiwa kurudi kwenye mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram, baada ya Meta kutangaza kumfungulia akaunti zake.
Akaunti zake ...
Muwimbaji nguli na mtunzi wa nyimbo Justin Bieber ameuza sehemu ya haki ya muziki wake kwa kampuni ya muziki ya Hipgnosis Songs Capital kwa dola milioni 200.
Kampuni hiyo sasa...
Mwanafunzi wa Zambia Lemekhani Nyirenda, aliyefariki September mwaka jana alipokuwa akipigania vikosi vya Urusi nchini Ukraine, anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano.
Nyirenda ...
Taarifa kutoka mkoani Tanga ambapo Wazazi na walezi Mkoani humo wametakiwa kuacha tabia ya kuwalaza watoto wao na wageni mbalimbali majumbani ili kuwaepusha na vit...
Huko Hong Kong, mfanyakazi wa kichinjio amefariki alipokuwa akijaribu kuua nguruwe, shirika la habari la CNN na The Mirror imesema.
Mchinjaji mwenye umri wa miaka 61 alimshtua...
Taarifa kutoka klub ya Simba imeleezwa kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo Roberto Oliveira ameondoka Usiku wa kuamkia leo (Januari 24) kwenda kwao Brazil kwa shughuli bi...
Mahakama kuu nchini Rwanda mjini Kigali imemuhukumu aliyekuwa waziri wa utamaduni nchini humo, kifungo cha miaka mitano jela kwa madai ya rushwa.
Rais Paul Kagame alimfukuza k...
Taarifa kutoka Misri ambapo taasisi ya Kitaifa ya Lishe nchini humo imetoa wito kwa watu kula miguu ya kuku badala ya nyama.
Uamuzi huo umekuja kutokana na gharama ya mi...
Rais nchini Zambia, Hakainde Hichilema amewataka raia wa nchi hiyo kuacha kuchunguza simu za wenzi wao na maoni hayo yamekuja kwa kujaribu kupunguza viwango vya talaka nchini....