Show ya Rihanna Super Bowl yaingia kwenye Tuzo za Emmy

Show ya Rihanna Super Bowl yaingia kwenye Tuzo za Emmy

Show ya iliyobamba zaidi duniani kote ya 'Super Bowl LVII Halftime' ambayo imefanywa na mwanadada Rihanna imepokea jumla ya uteuzi tano kwenye Tuzo za Emmy mwaka 2023.

Wasanii wengine waliotajwa ni pamoja na Jay-Z, Elton John, The Weeknd na wengine wengi ambapo Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika Septemba 18 mwaka huu.

Ikumbukwe tu Show ya Super Bowl LVII Halftime ilifanyika Januari mwaka huu na kupata watazamaji zaidi ya Milioni 172 katika mtandao wa YouTube.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags