Auliwa kisa mkate

Auliwa kisa mkate

Mwanamme mmoja nchini Nigeria mwenye umri wa miaka 32, Ebimotimi Freeborn, aliyetuhumiwa na kupigwa mpaka kufa kwa kuiba mkate kando ya Barabara ya Tombia, katika eneo la Yenagoa nchini humo.

Inasemekana kuwa marehemu alidakwa akiiba mkate dukani na umati wa watu wenye hasira kali walimshukia na kumtembezea kichapo mpaka kupelekea kifo chake.

Katika taarifa iliyotolewa, msemaji wa polisi, Asinim Butswat, alisema washukiwa watatu wametambuliwa kama Preye Mathew, Theophilus Tiro na Famous Precious






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags