Chenjeu: Msanii lazima ujichubue

Chenjeu: Msanii lazima ujichubue

Ohoo!! Mambo yameshaanza kuwa mengi tulishazoea kuona wasanii wa muziki kutoka Congo wakijibadilisha mionekano yao kwa kujichubua basi bwana kumbe wasanii wetu wameshaanza hizo mambo.

Baada ya msanii wa Komedian Chenjeu kufanya mahojiano na moja ya chombo cha habari na kukiri kwamba yeye anajibadilisha ngozi na kusema msanii lazima abadilike na kuwataja baadhi ya wasanii wenzie wakiwemo waimba muziki wanao jichubua anaeleza.

“Sisi wasanii lazima tujichubue huwezi Kung'aa na kuvutia bila kujichubua haswa ukiwa Msanii lazima uwe na muonekano”






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags