Mtoto wa miaka 2 ajiua kwa kujipiga risasi

Mtoto wa miaka 2 ajiua kwa kujipiga risasi

Mtoto wa miaka miwili aliefahamika kwa jina la Jaiangelis Stevenson kutoka Los Angeles nchini California amejiua kwa kujipiga risasi bahati mbaya, siku ya Jumapili, Julai 9, KLAS iliripoti.

Baada ya tukio hilo mtoto huyo alikimbizwa hadi University of Medical Center, ambako ilitolewa taarifa kuwa amefariki.

Mtoto huyo alikuwa akitazamwa na mwanafamilia mmoja wakati mama yake alipokuwa akifanya kazi, Tukio ilipotokea, shangazi yake wa Jaiangelis, Paris Box aliliambia shirika la habali la 8 News Now kuwa tukio hilo ni uzembe kwani Bunduki haikuwa sehemu sahihi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags