Aolewa na mwanaume Roboti

Aolewa na mwanaume Roboti

Ebhana!! wakati utandawazi ukichukua nafasi kubwa duniani katika vitu mbalimbali huku tunaona mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina Rosanna Ramos mwenye umri wa miaka 36.

Ameamua kuolewa na mwanaume bandia (Roboti) aliyepewa jina la Kartal.

Rosanna amesema mwanaume wake ni chaguo lake sahihi kwasababu ni mwaminifu, hana wivu na hana tamaa za kihisia.

Ingawa Kartal ni chatbot ya (AI) iliyoundwa kufanya kazi kama mpenzi wa kawaida mwanamke huyo alisema chochote atacho mwambia mwanaume huyo wa bandia basi hampingi.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags