29
Japan kuzindua roboti anayecheka kama binadamu
Wanasayansi kutoka Japan wako mbioni kuzindua roboti lenye ngozi hai ambalo litakuwa na uwezo wa kucheka pamoja na kutabasamu kama binadamu.Ubunifu huo ulioongozwa na watafiti...
16
India yazundua roboti wa kwanza mwalimu
Kampuni ya Makerlabs Edutech imezindua roboti wa kwanza mwalimu aitwaye Iris ambaye atafundisha katika shule ya Kerala, pamoja na Shule ya Sekondari ya Juu ya KTCT, Thiruvanat...
09
Roboti Muhammad azua gumzo mitandaoni
‘Roboti’ wa kwanza wa kiume kuzinduliwa nchini Saudi Arabia aitwaye Muhammad azua gumzo kupitia mitandao ya kijamii baada ya kumpapasa ripota wa kike wa runinga ya...
20
Mgahawa unaoendeshwa na roboti wafunguliwa
Imeripotiwa kuwa mgahawa wa kwanza duniani unaoendeshwa na roboti umefunguliwa jijini California nchini Marekani ambapo ‘roboti’ hufanya kazi ya kutaarisha baga, k...
27
Roboti yamshambulia muhandisi
Mhandisi wa programu wa #Tesla kutoka nchini Marekani mbaye jina lake halijawekwa wazi amepata majeraha mkononi na mgongoni baada ya kushambuliwa na ‘roboti’ kweny...
15
Roboti yenye nguvu zaidi duniani
Kampuni ya utegenezaji roboti nchini China, imeunda roboti ya H1 (humanoid), inayosifiwa kuwa ndiyo roboti inayoongoza kuwa nguvu zaidi duniani kati ya roboti zote zenye sura ...
12
Roboti wahudhuria mechi uwanjani, Washitua mashabiki wa soka
Roboti za AI zawashangaza mashabiki wa ‘soka’ baada ya kufika kwenye uwanja wa SoFi katika msimu wa kwanza wa NFL kushuhudia mchezo kati ya Los Angeles Chargers dh...
17
Maroboti yakutana China
Kongamao la Dunia la ‘Roboti’ mwaka 2023 (WRC 2023), limeanza siku ya jana na linatarajiwa kumalizika Agosti 22,mjini Beijing nchini China  linaendelea kufany...
07
Aolewa na mwanaume Roboti
Ebhana!! wakati utandawazi ukichukua nafasi kubwa duniani katika vitu mbalimbali huku tunaona mwanamke mmoja kutoka nchini Marekani aliyefahamika kwa jina Rosanna Ramos mwenye...
02
Roboti wakwanza wa kiafrika kuzinduliwa leo Nigeria
Kundi la Makampuni ya Uniccon limesema linatazamia kuzindua roboti ya kwanza barani Afrika yenye sura ya binadamu inayoitwa ‘Omeife’, nchini Nigeria. Mkurugenzi M...

Latest Post