Roboti wahudhuria mechi uwanjani, Washitua mashabiki wa soka

Roboti wahudhuria mechi uwanjani, Washitua mashabiki wa soka

Roboti za AI zawashangaza mashabiki wa ‘soka’ baada ya kufika kwenye uwanja wa SoFi katika msimu wa kwanza wa NFL kushuhudia mchezo kati ya Los Angeles Chargers dhidi ya Miami Dolphins.

Roboti hizo zilionekana zikiwa zimekaa katika viti pamoja na mashabiki wengine wa soka huku zingine zikiwa zinazunguka katika maeneo mbalimbali uwanjani hapo zikitoa matangazo kwa watu juu ya ujio wa filamu mpya ya "The Creator"  inayotarajiwa kutoka Septemba 29.

Filamu hiyo imeongozwa na Godzilla na Rogue One, ikiwa na maudhui ya kuwashindanisha raia wa Duniani dhidi ya jeshi kubwa la AI ( Robots) ambalo linatishia kuharibu ubinadamu.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags