Maroboti yakutana China

Maroboti yakutana China

Kongamao la Dunia la ‘Roboti’ mwaka 2023 (WRC 2023), limeanza siku ya jana na linatarajiwa kumalizika Agosti 22,mjini Beijing nchini China  linaendelea kufanyika ambapo aina mbalimbali za ‘roboti’ zenye muundo wa binadamu zikiwa zimekutanishwa katika kongamano hilo.

Mwaka huu kongamano hilo limezinduliwa na Chama cha Sayansi na Teknoloji cha China (CAST), na kuhudhuliwa na zaidi ya makampuni 100 kutoka mataifa mbalimbali, huku zaidi ya aina 500 za ‘roboti’ zikiwa zimefikishwa katika tamasha hilo.

Lengo likiwa ni kuoneshe mafanikio ya kasi ya tasnia ya ‘roboti’ , na kukuza matumizi ya ‘roboti’ katika sekta mbalimbali.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags