Gavana wa jimbo la Darfur auwawa

Gavana wa jimbo la Darfur auwawa

Kufatiwa na mapigano yanayo endelea nchini Sudani katika miji mbalimbali siku ya jumatano vyombo vya habari nchini humo viliripoti taarifa ya kifo cha Gavana wa jimbo la Darful, Khamis Abubakar.

Gavana huyo inadaiwa mauaji yake yalifanywa na kundi lenye silaha kali ambalo alikuwa akiliongoza mwenyewe baada ya kuishutumu (RSF) na wanamgambo washirika kwa mauaji ya kimbari.

Ingawa mpaka sasa hakuna maelezo juu ya kifo chake yaliyotolewa lakini vyanzo vya serikali nchini humo vinasema (RSF) inahusika.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags