Inadaiwa kuwa ‘kampuni’ya inayo husika na maswala ya ngumi, UFC ikotayari kupata ‘saini’ ya mwanamichezo wa boxer kutoka nchini Uingereza, Michael Page...
Wajumbe wa kamati ya Mamlaka ya ushirikiano wa Serikali za Afrika Mashariki na pembe ya Afrika, (IGAD) ya kutafuta suluhisho kwa mzozo wa Sudan, wamekutana mjini Addis Ababa J...
Pande mbili za mahasimu nchini Sudani wamekubaliana kusitisha mashambulizi na kuruhusu watu kutembea ili kuwezesha utoaji na ufikiaji wa misaada ya kibinadamu.
Tangu aprili mw...
Kufatiwa na mapigano yanayo endelea nchini Sudani katika miji mbalimbali siku ya jumatano vyombo vya habari nchini humo viliripoti taarifa ya kifo cha Gavana wa jimbo la Darfu...
Wajeshi nchini Sudan siku ya Jumatano wamevunja makubaliano na vikosi vya nchi hiyo vya RSF na kuongeza muda wa makubaliano ya usimamishaji mpya wa mapigano wakishutumu kukiuk...
Saudi Arabia inasema inatarajia mazungumzo yaliyoanza mjini Jeddah siku ya Jumamosi kati ya makundi ya kijeshi ya Sudan yanayozozana yatafikia usitishaji wa kudumu wa mapigano...
Kufatiwa na mapigano huko nchini Sudani wanafunzi 150, watumishi wa ubalozi 28 na diaspora 22 wa Kitanzania wanatarajiwa kuwasili leo Aprili 27 katika uwanja wa ndege wa...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa kati ya watu 10,000 na 20,000 wamekimbia mapigano makali Sudan na kutafuta usalama katika nchi jirani ya Chad.
Shirika la Umoja wa Mataifa l...
Wanajeshi kutoka nchini Sudani wamekimbia nchi yao kukwepa mapigano yanayoendelea na wamekimbilia nchi jirani ya Chad wakihofia kuuawa na wanamgambo wa kikosi cha Rapid Suppor...
Kufatiwa na machafuko kati ya Jeshi na kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) huko nchini Sudani yamekuwa ya kiendelea takribani siku ya 3 mfululizo zaidi ikiwa kat...
Afisa mmoja wa juu wa afya nchini Sudan Fath Arrahman Bakheit amesema mapigano ya siku mbili ya kikabila kusini mwa nchi hiyo yamesababisha vifo vya watu wasiopungua 220.
Mapi...