01
Mashabiki Sudani Kusini walivyofuatilia mchezo dhidi ya USA, Olimpiki 2024
Mashabiki wa michezo Sudan Kusini usuku wa kuamkia leo walikusanyika katika eneo moja kwa ajili ya kufuatilia mchezo wa Mpira wa K...
19
Vita yasitishwa kwa saa 72, Sudani
Pande mbili za mahasimu nchini Sudani wamekubaliana kusitisha mashambulizi na kuruhusu watu kutembea ili kuwezesha utoaji na ufikiaji wa misaada ya kibinadamu. Tangu aprili mw...
16
Gavana wa jimbo la Darfur auwawa
Kufatiwa na mapigano yanayo endelea nchini Sudani katika miji mbalimbali siku ya jumatano vyombo vya habari nchini humo viliripoti taarifa ya kifo cha Gavana wa jimbo la Darfu...
01
Sudani yagoma kusitisha mapigano
Wajeshi nchini Sudan siku ya Jumatano wamevunja makubaliano na vikosi vya nchi hiyo vya RSF na kuongeza muda wa makubaliano ya usimamishaji mpya wa mapigano wakishutumu kukiuk...
27
Watanzania 200 watua nchini wakitokea Sudan
Kufatiwa na mapigano huko nchini Sudani wanafunzi 150, watumishi wa ubalozi 28 na diaspora 22  wa Kitanzania wanatarajiwa kuwasili leo Aprili 27 katika uwanja wa ndege wa...
21
Wasudan 20,000 wakimbilia Chad
Umoja wa Mataifa (UN) umesema kuwa kati ya watu 10,000 na 20,000 wamekimbia mapigano makali Sudan na kutafuta usalama katika nchi jirani ya Chad. Shirika la Umoja wa Mataifa l...
17
Watu 50 wauwawa katika mapigano nchini Sudani
Kufatiwa na machafuko kati ya Jeshi na kundi la wanamgambo la Rapid Support Forces (RSF) huko nchini Sudani yamekuwa ya kiendelea takribani siku ya 3 mfululizo zaidi ikiwa kat...

Latest Post