Morisson aomba uraia wa Tanzania

Morisson aomba uraia wa Tanzania

Kiungo wa klabu ya Yanga, Benard Morisson (BM 3) amethibitisha kuwa ametuma maombi kwenda Wizara ya mambo ya ndani ya nchi akiomba kuwa raia wa Tanzania.

Kupitia mahojiano yake na kituo cha redio huko Takoradi nchini Ghana Benard ameweka wazi kuwa yupo mbioni kubadilisha uraia ili kuitumikia timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na mchakato ulianza mwaka 2021.

Hahahaha! Make hapa kwanza ncheke, je wabongo kwa balaa la huyu mwamba tutawezana  naye kweli au tusimkaribishe kwetu (jokes), vipi unamtazamo gani katika hili, dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags