Pande mbili za mahasimu nchini Sudani wamekubaliana kusitisha mashambulizi na kuruhusu watu kutembea ili kuwezesha utoaji na ufikiaji wa misaada ya kibinadamu.
Tangu aprili mwaka huu jeshi linaloongozwa na Abdel Fattah al-burhan, limekuwa likipambana na vikosi vya kijeshi vinavyoongozwa na makamu wake wa zamani Mohamed Hamdan Daglo.
Baada ya wawili hao kuingia katika mgogoro mkali wa madaraka nchini humo.
Leave a Reply