Mkuu wa mkoa akataza maandamano

Mkuu wa mkoa akataza maandamano

Akizungumza na waandishi wa habari, mkuu wa mkoa wa jijini Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka raia waliokusudia kuandamana kupinga mkataba wa Tanzania na DP World waache mara moja akisema huu sio muda wa maandamano.

“Kwa ujumla tumeelekeza huu sio muda wa maandamano hata kidogo, jambo hili kwa mtu anayetaka kulifahamu kuna njia sahihi la kulifahamu, maandamano yanasitisha biashara na watu kupata huduma za haraka za hospitali,

Kwa mantiki hiyo vijana wote ambao wamekusudia kufanya haya basi waache mara moja” alisema Chalamila.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Asha Charles


Latest Post

Latest Tags